top of page

News Feed

View groups and posts below.


This post is from a suggested group

MBU DUME


Google wanapanga kuachia mbu milioni 32 kwenye miji ya Florida na California


Subiri kwanza hii sio movie


Kabla hujasema ni njama za mabeberu hebu elewa kwanza mchezo ulivyo


Hawa sio mbu wa kawaida unaowajua wewe


IPO HIVI


2 Views

This post is from a suggested group


Kuna muda huwa unafika, automatic unajikuta huna tena zile shobo na mapenzi ya kupitiliza.😔💔 


Kichwa kinawaka moto kuwaza maisha yako na mwelekeo wako. Unaanza kuona vitu kwa uhalisia zaidi kuliko hisia. Simu hata isipoingia meseji ya mtu kukusalimia unaona fresh tu, hauumii tena kama zamani. Ndugu wakikutenga unaona sawa tu, kwa sababu unaanza kuelewa kuwa sio kila mtu ana nafasi ya kudumu kwenye maisha yako.


Unashangaa unapunguza kujali mambo yasiyo kuhusu, unaanza kuchagua amani yako kuliko drama za dunia. Moyo unakuwa mgumu kidogo, lakini akili inakuwa imetulia zaidi. Hii ni hatua ya kukua kiakili na kihisia. Unaanza kujitambua, kujipa thamani na kuelewa kuwa sio kila kitu kinahitaji nguvu zako. Unachagua kupambana na maisha yako, ndoto zako na future yako, badala ya kupoteza muda kwa mambo yasiyo na maana.


  • Kumbuka: Sio kwamba umekuwa mbaya au hauna mapenzi tena, bali umefikia hatua ya kujilinda na kuchagua kile chenye maana kwenye maisha yako.…

4 Views

This post is from a suggested group


Unakuwa na mwanaume ambaye, hata ukimueleza shida zako hakusaidii… sasa huyo ni mume au sanduku la maoni? 😂💔


Maana ndoa au mahusiano siyo sehemu ya kusikilizana tu bila hatua, bali ni sehemu ya kusaidiana na kusimama pamoja kwenye changamoto. Inaumiza pale unapo fungua moyo wako ukitegemea msaada au ushirikiano, lakini mwenzako anabaki kimya au anakupa majibu ya juu juu bila kujali uzito wa tatizo.


Mwanaume wa kweli hatakiwi kuwa msikilizaji tu, bali pia awe mshirika wa maisha—mtu wa kukupa faraja, ushauri na msaada pale inapo wezekana. Sio lazima awe na kila suluhisho, lakini angalau aonyeshe kujali na kuchukua hatua hata kidogo.


Kama kila kitu unakibeba peke yako huku yeye yupo kama mtazamaji, ni muhimu kujiuliza nafasi yake kwenye maisha yako ni ipi. Mahusiano yana hitaji ushirikiano, sio mtu mmoja kupambana na mwingine kutazama. Mwisho wa siku, mume au mwenza anatakiwa kuwa nguzo ya nguvu na faraja, sio mtu wa kukusikiliza…

1 View

This post is from a suggested group

KUMCHAFUA MTU


Unaweza kumchafua mtu kwa kumtangazia mabaya kila sehemu, lakini huwezi kuzuia riziki zake alizo pangiwa na MUNGU.❤️


Watu wanaweza kusema, kupanga na hata kujaribu kukushusha, lakini kile ambacho Mungu ame kikusudia kwako hakizuiliki na maneno wala hila za binadamu. Usipoteze muda kujitetea kwa kila mtu, endelea na njia yako, fanya kazi zako kwa bidii na uache matokeo yaongee. Ukweli una tabia ya kujitokeza hata ukifichwa kwa muda.


Wanao kuchafua wanaweza kukufanya uonekane vibaya kwa watu, lakini hawawezi kubadilisha hatima yako. Riziki yako iko mikononi mwa Mungu, sio midomoni mwa watu.


  • Kumbuka: Heshima yako inaweza kujaribiwa na maneno ya watu, lakini mafanikio yako yana lindwa na mipango ya Mungu. Endelea kusonga mbele bila kuangalia nyuma.


Nikutakie Usiku Mwema mwanasafari ya uhai.🥰

3 Views

This post is from a suggested group

WEWE UNAWEZA

‎Kuna siku unaamka asubuhi una nguvu za kufanya mambo makubwa, unajiona kama simba wa porini. ‎Lakini baada ya dakika 10 tu unaangalia simu unaona watu wana onyesha mafanikio yao mtandaoni na ghafla unaanza kujiona kama mbuzi aliye potea sokoni sio simba tena. ‎Hadi unaanza kusema "Mimi siwezi..." ‎Lakini swali ni kweli huwezi au umejikatia tamaa mapema? ‎Maisha ya sasa yanatufanya tuamini kwamba mafanikio ni kitu cha haraka, unaona mtu ameanza biashara leo, kesho ana onekana kwenye gari la kifahari. ‎Unaona mtu amefungua account YouTube mwezi mmoja haraka tu ana subscribers wengi unatamani kuwa kama yeye unasahau kuna zile siku alikua anapost video halafu wanaotazama ni yeye mwenyewe familia na jirani mmoja.

‎Ukweli ni kwamba kila mtu mkubwa alianza akiwa mdogo, hakuna mtoto aliye zaliwa anajua kuendesha baiskeli. ‎Mara ya kwanza wengi huanguka hadi kutoa vidonda lakini hawakuacha kujifunza kila siku, hata kwenye maisha halisi ipo hivyo. ‎Mwanafunzi aliyepata…

5 Views

This post is from a suggested group

SIRI KUU ZA LOS ANGELES


Kuna miji ukiisikia tu, akili yako inaanza kutengeneza picha za mafanikio, pesa, mastaa, magari ya kifahari, na maisha ya ndoto. Na mojawapo ya miji hiyo ni Los Angeles. Watu wengi wanaijua kupitia filamu, muziki, na maisha ya celebrities. Ukiitazama kupitia Instagram au movies, unaweza kudhani ni mji ambao kila mtu ana furaha, kila mtu anang’aa, na kila ndoto inatimia. Lakini ukweli wa Los Angeles haupo kwenye kamera pekee. Kuna siri nyingi nyuma ya mwanga wa mji huo ambazo watu wengi hawazioni mpaka wafike karibu na maisha yake halisi. Na nilipoanza kusoma na kusikiliza simulizi za watu waliowahi kuishi huko na baadae kufika binafsi niligundua kwamba Los Angeles ni zaidi ya Hollywood na palm trees. Ni mji wenye sura mbili — ile ya ndoto… na ile ya ukweli.


Siri ya kwanza ni kwamba Los Angeles ni mji unao wajaribu watu kisaikolojia kuliko wanavyo tarajia. Watu wengi huenda huko wakiwa na ndoto…


2 Views

This post is from a suggested group

UHAKIKA WA KIROHO – TOFAUTI KATI YA ELIMU NA UPOTOSHAJI


  • Katika zama hizi, watu wengi wanatafuta njia za haraka za mafanikio, nguvu, au utajiri. Ndipo mafundisho mengi huibuka yakidai unaweza “kumiliki viumbe”, “kuvuta majini”, au “kuwatumia kwa kazi zako.”


Lakini ukweli wa kina ni huu: ulimwengu wa kiroho hauendeshwi kwa michezo, mitego, au majaribio ya hatari.


Hekima kuu:


1. Viumbe wa kiroho ( kama majini ) katika imani nyingi, si vitu vya kumiliki au kudhibiti kwa urahisi.


2. Kujaribu kuvihusisha bila maarifa sahihi na ulinzi wa kiroho kunaweza kuleta madhara makubwa.


1 View

This post is from a suggested group

Kwahiyo unaniambia tulifanya vyote vile, ili tusije kuongea tena milele?😭💔


  • Zile simu za usiku mkubwa, tulizo tegeana ni nani wa kuzikata...


  • Zile ahadi za utanifanya niwe mume mwenye bahati zaidi mbele yako...


  • Ile mitoko ya usiku, ya kujirekodi kila tukio ukicheka huku unanieleza namna unavyo nipenda.


  • Zile video call ukiwa mbali na maneno ya unatamani ningekuwa karibu yako..


Vyote tulifanya ili leo tusijuliane hali na kila mtu afute namba ya mwenzie? Nakuuliza..


3 Views

This post is from a suggested group

GREAT FIRE OF LONDON 🇬🇧


Upo usingizini usiku sana mara unasikia kelele za “Moto! Moto!” Halafu ukiangalia dirishani unaona moto mkubwa sana ukiteketeza nyumba kwa Kasi Sana.... ‎Na hili ndio tukio la moto lililotokea "LONDON" Na kupewa Jina la "Great Fire of London". ‎Ni Miaka ya 1666 Tukio la moto mkubwa lilitokea London na kupelekea kuharibu sehemu kubwa ya London ndani ya siku chache. ‎Moto ulianza usiku wa tarehe 2 Septemba 1666 katika bakery ya Thomas Farriner iliyokuwa Pudding Lane na baadae kusambaa mji mzima.

‎wakati huo nyumba za London zilijengwa zikiwa zimekaribiana sana na kibaya zaidi zilijengwa kwa mfumo wa mbao. ‎Halafu njia za barabara zilikuwa nyembamba kwa maana upepo ukipuliza kidogo tu tayari moto unaenda upande wa pili na ndio maana maeneo mengi yalichomeka sana. ‎Kwenye hili tukio zaidi ya nyumba 13,000 ziliteketea, huku makanisa zaidi ya 80 yaliungua na watu 100,000 makazi yao yaliungua kwa moto. Baada ya janga hilo London…

2 Views
bottom of page